Katika miaka ya 1940, kampuni ya British Imperial Chemical Industries (ICI) Ltd ilijenga nyumba za vioo za majaribio katika uwanja wa makao makuu yake huko Fernhurst, karibu na Haslemere mjini Surrey, Uingereza.  Katika sehemu hii, utafiti tangulizi wa lishe ya mimea inayokuzwa kwa njia ya haidroponi, na haswa NFT (Nutrient Film Technique), ulifanyika.

Kutokana na utafiti huu, kulibuniwa Solufeed 'F' ('F' ikisimamia Fernhurst), mbolea kamili ya kwanza kabisa ya haidroponi - inayouzwa hadi sasa!  Baadaye, ikabuniwa Solufeed 'H' ('H' ikisimamia Haslemere) mbolea ya vipengee viwili iliyoundwa mahususi kwa ajili ya nyanya.

Mnamo mwaka wa 1990 Solufeed Ltd iliundwa kufuatia ununuzi wa usimamizi kutoka kwa ICI. Aina ya bidhaa ilipanuka na mauzo ya nje yakaongezeka.

Kufikia sasa kampuni hii inamilikiwa kwa njia ya binafsi, na inalenga kutengeneza mbolea maalum kwa sekta za kilimo, bustani na mapambo. Aina hizi zinajumuisha bidhaa za mimea ya shambani pamoja na mimea inayolindwa na mimea ya kilimo pamoja na mimea ya bustani. Aina mbalimbali za mbolea ni pamoja na za kuwekelewa juu, viowevu, poda za kuyeyuka majini na chembechembe. Bidhaa hizi zote zinatengenezwa katika kiwanda cha Solufeed na hutolewa kwenye vifurushi vya ukubwa mbalimbali.

Bidhaa za Solufeed, za vioevu na poda, hutengenezwa na kuuzwa kulingana na viwango vya ISO 9001 : 2015.

Angalia Aina Mbalimbali za Bidhaa Zetu
Tuna bidhaa mbalimbali zinazopatikana. Pia tuna uwezo wa kutengeneza michanganyiko maalum ili kukidhi mahitaji yako, tafadhali wasiliana nasi.

Mbolea Oevu ikiwa ni pamoja na zinazowekelewa juu ambazo zimekolea majini kwa ajili ya mimea ya shamba na mbolea zinazofanya kazi haraka kwa mazao ya bustani.

Mbolea za Majani zikijumuisha michanganyiko ya NPK yenye vichocheo vya ukuaji wa kiasili na madini mahususi ya mimea.

Mbolea za Mango zinatolewa kama michanganyiko ya poda inayoweza kuyeyuka majini kwa ajili ya mbinu ya kutia mbolea kwa kunyunyiza au kumwagilia juu.

Mbolea Mahususi kwa mazao fulani – iwe stroberi au nafaka, ama brasika au bluberi.

Mbolea Asili zinazotokana na nyenzo zilizoidhinishwa za kiasili – kwa mfano asidi ya fulviki iliyotengenezwa kwa njia asili kutoka kwa maji ya chini ya ardhi

Mbolea za Haidroponi. Poda ya Solufeed F inayoyeyuka majini, iliyothibitishwa kwa zaidi ya miaka 60 ya matumizi, pamoja na kioevu cha Easy Feed Extra ambacho kinajumuisha kalsiamu katika utengenezaji.

Mbolea za Madini Mahususi ya Mimea. Aina nyingi zaidi za madini mahususi ya mimea ambazo ni za bei nafuu, zenye ubora wa juu na zilizochanganywa pamoja kama viowevu na chembechembe zinazoyeyuka majini ili kukidhi hali zote ikiwa ni pamoja na EDTA, DTPA na aina zote za EDDHA.

Spesiale kunsmis van hoë gehalte

Solufeed, wat die eerste keer in 1946 geregistreer is, was die handelsnaam van een ICI-kunsmis vir die destydse opkomende hidroponikabedryf. Die Solufeed-handelsmerk sluit nou honderde produkte in wat regoor die wêreld verkoop word. Produkte met ’n reputasie vir kwaliteit, betroubaarheid en waarde en die keuse van vandag se oordeelkundige produsent.

In die 1940's het die Britse Imperial Chemical Industries (ICI) Ltd eksperimentele kweekhuise op die terrein van sy hoofkwartier in Fernhurst, naby Haslemere in Surrey, Engeland gebou.  Hier het baanbrekersnavorsing oor die voeding van hidroponies verboude gewasse, en veral NFT (die Nutrient Film Technique), plaasgevind.

Uit hierdie navorsing het Solufeed "F" ("F" vir Fernhurst) gekom, die heel eerste volledige hidroponiese voeding – wat vandag nog verkoop word!  Later het Solufeed "H" ("H" vir Haslemere) gekom, ’n tweekomponentvoer spesiaal vir tamaties.

In 1990 is Solufeed Bpk. gestig na ’n bestuursuitkoop van ICI. Die produkreeks het gegroei, en uitvoere het toegeneem.

Vandag word die maatskappy onafhanklik besit en word daar gefokus op spesiale kunsmisstowwe vir die landbou-, tuinbou- en geriefsektore. Die reeks sluit produkte vir veldgewasse sowel as beskermde gewasse en vir landbou- sowel as tuinbougewasse in. Die reeks formules sluit suspensies, oplossings, oplosbare poeiers en korrels in. Alle produkte word in Solufeed se eie fabriek gemaak en in ’n wye reeks verpakkingsgroottes aangebied.

Solufeed se produkte, vloeibaar sowel as poeier, word volgens ISO 9001 : 2015-standaarde vervaardig en bemark.

Kyk na ons produkreeks
Ons het ’n groot verskeidenheid produkte beskikbaar. Ons kan ook mengsels aanpas om aan u vereistes te voldoen, kontak ons ​​asseblief daarvoor.

Vloeibare kunsmis insluitend gekonsentreerde watergebaseerde suspensies vir veldgewasse en vinnigwerkende oplossingkunsmisstowwe vir tuinbougewasse.

Blaarkunsmis insluitend kombinasies van NPK met organiese groeistimuleerders en spoorelemente.

Vaste kunsmisstowwe as wateroplosbare poeiermengsels vir waterbemesting of oorhoofse besproeiing.

Spesifieke kunsmis vir spesifieke gewasse – van aarbeie tot graan, van brassicas tot bloubessies.

Natuurlike kunsmis gebaseer op organiese gesertifiseerde materiale – byvoorbeeld natuurlik vervaardigde fulviensuur wat uit grondwater verkry word

Hidroponiese kunsmis. Solufeed F- oplosbare poeier, bewys gedurende 60 jaar se gebruik, sowel as die supergerieflike Easy Feed Extra-vloeistof wat kalsium in die formulering bevat.

Kunsmis met spoorelemente. Die grootste reeks bekostigbare, topgehalte gecheleerde spoorelemente soos vloeistowwe en oplosbare mikrokorrels vir alle situasies, insluitend EDTA, DTPA en alle soorte EDDHA.